Happy BirthDay Yohana Nkomola

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Apr 2018
Happy BirthDay Yohana Nkomola
Wakati Yanga ikitarajiwa kushuka kwenye uwanja wa Hawassa kuikabili Wolaitta Dicha leo, mshambuliaji kinda, Yahana Nkomola anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.

Nkomola ni sehemu ya kikosi cha Yanga kinachoiwakilisha Tanzania nchini Ethiopia leo. Ushindi katika mchezo huo itakuwa zawadi na kumbukumbu nzuri kwake.

Aidha kama atapata nafasi ya kucheza na akafanikiwa kufunga basi atakuwa na sherehe nzuri pale Awassa.

Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu kwake. Mwenye ez Mungu amjalie umri mrefu aweze kutimiza ndoto zake.

HAPPY BIRTHDAY YONAHA NKOMOLA
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’