Klabu ya Yanga leo Jumatano saa nane mchana itafanya Mkutano na waandishi wa Habari. Mkutano huo muhimu utafanyika Makao Makuu ya klabu
Baada ya kuibuka kwa sintofahamu kufuatia kesi iliyofunguliwa na 'wanaojiita wazee wa Yanga', kupitia Mkutano huo, Wananchi watajuzwa kinachoendelea
ADVERTISE HERE