Yanga leo ilikuwa Ikwiriri Rufiji ikiendelea na 'amsha-amsha za pori kwa pori' kuwahamasisha mashabiki na wanachama wa Yanga kujiunga na kulipia ada zao za uanachama kwa mwaka 2024/25
Mataji ya Ligi Kuu na FA yamefika Rufiji na kupokelewa kwa paredi kubwa kutoka kwa Wananchi
Huu ni mwanzo tu kuelekea shamrashamra za wiki ya Mwananchi..!





ADVERTISE HERE