Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamemtangaza Sekhwela Seroto kuwa Mtaalam wa Tiba ya Viungo (Physiotherapist)
Seroto ametua kuchukua nafasi ya Youssef Ammar ambaye aliondoka baada ya mkataba wake kumalizika
Seroto ni raia wa Afrika Kusini
ADVERTISE HERE