Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki amethibitisha bado yupo
Kauli ya Aziz Ki inamaliza sintofahamu kuhusu hatma ya mfungaji bora huyo ligi kuu ya NBC 2023/24
Ki alitua nchini Alfajiri ya Leo akitokea mapumzikoni Burkina Faso
Hii ni taarifa mbaya kwa wale waliokuwa hawatamani kumuona Aziz Ki akiendelea kuitumikia Yanga
Aziz Ki amesaini mkataba wa miaka miwili hivyo atakuwa na Wananchi hadi mwaka 2026
ADVERTISE HERE