Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, viongozi na Wazee wa Klabu leo wameshiriki dua maalumu kwaajili ya kumuombea aliyekuwa mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji aliyefariki dunia nchini Marekani wiki iliyopita
Pamoja na kuwa hayuko nasi tena, Wanayanga tutaendelea kumuenzi na kukumbuka mchango wake kwa klabu hii kongwe zaidi nchini
ADVERTISE HERE