Mlinda lango Aboutwalib Mshery ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia mabingwa hao wa nchi
Yanga imethibitisha 'nyanda' huyo kuongeza mkataba kama ilivyokuwa kwa Djigui Diarra ambaye aliongeza mkataba wa miaka miwili
Malengo ya Yanga ni kuhakikisha Mshery anaendelea kusalia katika kikosi cha Yanga kwa muda mrefu akitazamwa kuwa mrithi sahihi wa Diarra kwa miaka ya baadae
Mshery amechagua kuendelea kubaki Yanga licha ya kupata ofa kutoka timu nyingine ikiwemo Azam Fc
Β
ADVERTISE HERE