Mauya apewa mkono wa kwaheri Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2024
Mauya apewa mkono wa kwaheri Yanga

Kiungo Zawadi Mauya hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga baada ya mkataba wake kumalizika, imefamika

Mauya ameitumikia Yanga kwa misimu minne akitua kwa Wananchi mwaka 2021 akitokea Kagera Sugar

Akiwa na Yanga Mauya ameshinda mataji matatu ya ligi kuu, mataji matatu ya kombe la FA, Ngao mbili za Jamii, kombe la Mapinduzi pamoja na kuvaa medali ya CAF CC baada ya Yanga kucheza fainali 2022/23

Yanga inatarajiwa kusajili kiungo mwingine mkabaji kuchukua nafasi yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’