Diarra aongeza mkataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2024
Diarra aongeza mkataba Yanga

Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra ameongeza mkataba na mabingwa hao wa nchi ambao utamfanya asalie Jangwani hadi mwaka 2026

Diarra ambaye alijiunga na Yanga mwaka 2021, msimu uliopita alisaini mkataba wa miaka miwili lakini Yanga imeona umuhimu wa kuendelea kuwa nae kwa muda mrefu zaidi na hivyo kumuongezea mwaka mwingine na kufanya sasa aendelee kuwatumikia Wananchi kwa miaka mingine miwili

Diarra ndiye nguzo ya Yanga katika eneo la golikipa, tangu alipotua nchini mwaka 2021, ameisaidia Yanga kutwaa ubingwa wa ligi kuu katika kila msimu

Ana mataji matatu ya ligi kuu, mataji matatu ya FA, Ngao mbili za Jamii, Medali ya CAF CC na robo fainali ya ligi ya mabingwa

Mdaka mishale bado yupo sana...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’