Keki 17 zimeliwa Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jul 2024
Keki 17 zimeliwa Jangwani

Yanga haijawahi kuwa na jambo dogo! Ndivyo unavyoweza kusema pale mashabiki wa Yanga wakiendelea na shamra shamra za kumpokea Clatous Chama

Jana msemaji wa Yanga Ali Kamwe aliwaomba Wananchi wawasilishe keki 17 Makao Makuu ya Yanga, Jangwani ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kumkaribisha Chama Yanga

Keki 17 zimefika na kuliwa Jangwani leo pamoja na keki nyingine moja ya ziada!

Akizungumza katika hafla hiyo, Kamwe amesema Yanga ni familia hivyo mchezaji yeyote anapojiunga na Yanga anakuwa Mwanafamilia na atalindwa na kupewa heshima

Kamwe amemuomba Mzee Mpili na Wazee wa Yanga kuhakikisha wanamlinda Chama kwani ujio wake umepokelewa vibaya huko alikotoka!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’