Klabu ya Yanga imetangaza kilele cha Wiki ya Mwananchi ni August 04, katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Hii ndio siku rasmi ambayo Yanga itatambulisha kikosi chake na kukaribisha msimu wa mashindano 2024/25
Shamra shamra za wiki hiyo zitaanza rasmi Julai 27 kwa Wananchi kushiriki katika shughulia mbalimbali za kijamii
Katika siku ya kilele chake (August 04) Yanga itacheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya timu ambayo bado haijawekwa wazi
ADVERTISE HERE