Aliyewahi kuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga, Mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini Marekani alipokuwa anapatiwa matibabu
Kulingana na Mwananchi Digital, taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na mtoto wake, Mehbub Manji
Ama kwa hakika, kila nafsi itaonja mauti, Manji ataendelea kubaki katika historia ya klabu ya Yanga kwa yale mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake akiwa Mfadhili na Mdhamini wa Yanga
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, peponi AMEN....
ADVERTISE HERE