Yanga TV Show kuanza kuonekana Ijumaa hii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Apr 2018
Yanga TV Show kuanza kuonekana Ijumaa hii
Kile kipindi maalum cha TV cha klabu Yanga kitakachotambulika kama 'Yanga TV Show' sasa kitaanza kuruka rasmi kuanzia Ijumaa hii, April 20 2018 saa moja jioni.

Kulingana na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, amesema runinga ya Azam imewahakikishia kuwa kipindi hicho ambacho awali ilikuwa kianza kuruka hewani April 01 kitaanza kuruka Ijumaa hii.

Tayari matangazo ya kukitambulisha kipindi hicho yameanza kuonekana kwenye runinga ya Azam.

Ten amesema tofauti na vipindi vingine vya vilabu, kipindi hicho kitaandaliwa kwa asilimia 100 na Wana Yanga wenyewe.

Kitakuwa kinaandaliwa kwenye Studio za Yanga na kitasimamiwa kikamilifu na uongozi wa Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’