Klabu ya Azam Fc imeridhia maombi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuvunja mkataba. Ni baada ya kutimiza sehemu ya makubaliano ya pande mbili ambapo mchezaji huyo amelipa gharama za kuvunja mkataba huo
Azam Fc imemtakia kila la kheri katika katika klabu yake mpya anayokwenda kujiunga nayo
ADVERTISE HERE