Kamwe na siri ya tarehe 1-7

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2024
Kamwe na siri ya tarehe 1-7

Wakati dirisha la usajili likiwa wazi kwa takribani wiki mbili sasa, Yanga bado haijaanza kuweka hadharani mashine zake mpaka itakapofika tarehe 1-7

Hii tarehe 1-7 imetamkwa kuwa ni maalum na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa mabingwa hao wa nchi Ali Kamwe

Wengi wanajiuliza kwa nini hii 1-7 imechaguliwa kuwa siku ya kuanza kutambulisha kikosi cha Yanga kwa ajili ya msimu ujao 2024/25?

Kamwe amesema kuna siri kubwa kwenye siku hii (1-7) hivyo Wananchi waisubiri, watapata majibu

Je ile ahadi ya bango kwenda kuwekwa mkabala na jengo la klabu moja maarufu maeneo ya Kariakoo itakwenda kutimia katika siku hii ya 1-7?

Maswali ni mengi lakini ni siku mbili tu za kusubiri, yaliyomo kwenye tarehe 1-7 yatafahamika...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’