Hatma ya Guede ni Jumatatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2024
Hatma ya Guede ni Jumatatu

Klabu ya Yanga inatarajiwa kutoa taarifa juu ya hatma ya mshambuliaji Joseph Guede ambaye mkataba wake umemalizika

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha Guede alisaini mkataba wa miezi sita na sasa mkataba wake umemalizika

Siku chache zilizopita, zimeibuka tetesi kuwa Yanga inamuwania mshambuliaji wa Al Nasri ya Libya na timu ya Taifa ya Ghana Jonathan Sowah ambaye amewahi kuitumikia Medeama Fc iliyokuwa kundi moja na Yanga katika hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa msimu uliopita

Sowah anatajwa kutua Yanga kuchukua nafasi ya Guede, Kamwe amesema hatma ya mshambuliaji huyo itafahamika Jumatatu

"Suala la Guede (Joseph) ni tofauti kidogo, yeye mkataba wake umemalizika kwani alisaini mkataba wa miezi wakati tulipomsajili Januari. Kumekuwa na majadiliano kuhusu kumuongeza mkataba hivyo taarifa yake na nyingine zote za usajili tutaanza kuzitoa siku ya Jumatatu," alisema Kamwe

Kumekuwa na taarifa kuwa mchakato wa kumuongeza Guede mkataba ulikwama baada ya kutofikiwa makubaliano ya pande mbili

Inaelezwa Guede amepata ofa nono zaidi na huenda akaelekea Arabuni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’