Ni rasmi adhabu ya Yanga ya kufungiwa kusajili na FIFA imemalizika baada ya mabingwa hao wa Tanzania Bara kulipa madai ya mshambuliaji Lazarus Kambole
Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mapema leo, imethibitisha kuwa Yanga iko huru kufanya usajili wa ndani na Kimataifa baada ya FIFA kuiondolea kifungo
ADVERTISE HERE