Jumamosi Juni 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1 usiku utapigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga dhidi ya Safari Champions
Yanga ilipata mwaliko wa kucheza mchezo maalumu wa mashindano ya Safari Lager Cup dhidi ya mabingwa wa michuano hiyo
Siku hiyo litafanyika Tamasha kubwa la burudani ambapo wasanii wakubwa wa ndani na nje ya nchi watatumbuiza
Kofi Olomide (DRC), Harmonize (Tanzana) ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha hilo ambalo litahitimishwa na mechi kati ya Yanga dhidi ya Safri Champions
Viingilio vya mchezo huo vimetangazwa;


ADVERTISE HERE