Khomein kumrithi Metacha Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jun 2024
Khomein kumrithi Metacha Yanga

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wanatajwa kumalizana na mlinda lango wa Singida Black Stars (Ihefu Fc) Khomein Abubakar

Nyota huyo anatajwa kuwa mrithi wa Metacha Mnata akiwa ni pendekezo ya benchi la ufundi la Yanga chini ya kocha Miguel Gamondi

Taarifa zinasema awali Yanga ilikuwa ikimhitaji kwa udi na uvumba golikipa wa Prisons, Yona Amosi, ikashindikana, baadaye ikahamia kwa kipa wa Geita Gold, Costantine Malimi na mwishoni imetua kwa Khomein

Kabla ya kujiunga na Ihefu, Khomein alikuwa kipa wa Geita Gold ambako alifanya vema pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’