Ligi Kuu ya Vodacom ambayo inaelekea ukingoni leo inaingia kwenye mzunguuko wa 25 ambapo michezo minne inatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.

Ligi hiyo inatarajiwa kuendelea tena kesho Jumatatu kwa michezo mingine mitatu kupigwa.
Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 55 itakuwa uwanja wa Taifa kuikabili Tanzania Prisons.
Ndanda FC itakuwa mwenyeji wa Ruvu Shooting wakati wakata miwa wa Kagera Sugar watawakaribisha ndugu zao Mtibwa Sugar dimba la Kaitaba.
Yanga inayotimiza majukumu ya Kimataifa, itaendelea kurundika viporo. Inatarajiwa kurejea dimbani kwa michezo ya ligi April 29 kuikabili Simba.

ADVERTISE HERE