Bacca, Diarra washinda tuzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2024
Bacca, Diarra washinda tuzo

Beki kisiki wa Yanga Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka visiwani Zanzibar

Bacca alikuwa akichuana na nyota wengine wanaocheza ligi ya Tanzania Bara Feisal Salum (Azam Fc) na Mudathir Yahya (Yanga)

Wakati Bacca akibeba tuzo hiyo Zanzibar, mlinda lango Djigui Diarra nae ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka nchini Mali

Tuzo hizo maalumu hutolewa nchini Mali kwa wachezaji wao waliofanya vizuri kwa msimu husika (Mali Football Awards)

Diarra ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Sadio Kanoute wa Simba, Fily Traore mshambuliaji wa TP Mazembe, Aliou Dieng kiungonwa Al Ahly na Abdoulaye Kanou mshambuliaji wa USM Alger

Jana klabu ya Yanga pia ikashinda tuzo ya timu bora ya mwaka, tuzo zilizotolewa na Baraza la Michezo la Taifa

Nyota wa Yanga walitarajiwa kuzoa tuzo zaidi za TFF baada ya kuhitimishwa msimu wa mashindano 2023/24

Hata hivyo tuzo hizo zitatolewa baada ya michuano ya Ngao ya Jamii itakayopigwa August 08-11 mwaka huu

Wachezaji Stephane Aziz Ki na Clement Mzize tayari wanazo tuzo mkononi wakiwa wafungaji bora wa ligi kuu na kombe la Shirikisho la CRDB

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’