Yanga kufanya pre-season Ulaya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jun 2024
Yanga kufanya pre-season Ulaya

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema klabu hiyo imepata mialiko kutoka nchi mbalimbali kwa ajili ya pre-season

Akizungumza katika Mkutano wa mwaka wa Wanachama wa Yanga uliofanyika jijini Dar es salaam leo, Hersi alisema wamepokea mialiko kutoka nchi za Afrika Kusini, Kenya na kutoka barani Ulaya

"Majirani zetu Kenya wametualika katika hafla ya uzinduzi wao wa uwanja mpya waliokamilisha kujenga hivi karibuni"

"Lakini pia rafiki zetu Kaizer Chiefs ambao tuliwaalika wiki ya Mwananchi nao wametualika katika michuano maalum ya pre-season ambayo wanatarajia kuiandaa"

"Na pia kuna mualiko kutoka nchi moja barani Ulaya ambayo sitapenda kuitaja leo lakini huenda kambi yetu ya maandalizi ya msimu mpya tukaifanya katika nchi hiyo," alisema Hersi

Yanga huenda ikawa busy kwenye pre-season kwani pia itashiriki michuano ya Kagame Cup itakayofanyika jijini Dar es salaam mwezi Julai huku pia wananchi wakiwa na ratiba yao ya Wiki ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
59m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’