Yondani amaliza fungate, arejea kikosini

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
25 Jul 2017
Yondani amaliza fungate, arejea kikosini
Mlinzi kisiki wa Yanga Kelvin Yondani ambaye alifunga ndoa wiki iliyopita, amemaliza fungate na sasa amerejea rasmi kazini ambapo jana alianza mazoezi mepesi.

Leo anaungana na wachezaji wengine waliotoka kupiga 'tizi kali' la mazoezi ya Gym kwa takribani wiki mbili.

Wachezaji wengine ambao wanaweza kuanza mazoezi leo ni Donald Ngoma na Thaban Kamusoko.

Mazoezi ya Yanga yanafanyika kwenye dimba la uhuru.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
35m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’