Kikosi cha Yanga jana usiku kilikamilisha maandalizi katika uwanja wa New Amaan Complex kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB utakaopigwa leo saa 2:15 usiku
Kulingana na Daktari wa Yanga, Dk Moses Etutu, wachezaji wote wako tayari kwa mchezo huo lengo likiwa kubeba taji la FA kwa msimu wa tatu mfululizo








ADVERTISE HERE