Azam FC imelazwa mabao 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 24 uliopigwa kenye uwanja wa Mabatini mkoani Pwani.
Mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa jana lakini uliahirishwa baada ya uwanja kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani Pwani.
Mabao ya Ruvu Shooting yalifungwa na Khamis Ncha na Fully Maganga.
Azam FC inaendelea kubaki nafasi ya tatu nyuma ya Yanga ikiwa na alama 45 baada ya kushuka dimbani mara 24.
Yanga iko nafasi ya pili ikiwa na alama 47 baada ya kushuka dimbani mara 22.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 55 baada ya kushuka dimbani mara 23.

ADVERTISE HERE