Ni Jumamosi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 May 2024
Ni Jumamosi ya Mabingwa

Historia nyingine inakwenda kuandikwa na Yanga pale Uwanja wa Benjamin Mkapa leo. Ubingwa wa 30 Ligi Kuu ya Tanzania inakwenda kukabidhiwa mikononi mwa Yanga

Ni katika tukio kubwa ambalo pasipo na shaka litafuatiliwa na Afrika nzima. Yanga imejipambanua kwa shamrashamra zake za kusherehekea ubingwa

Shughuli inaanza saa 5 asubuhi, mageti ya uwanja wa Benjamin Mkapa yatafunguliwa tayari kwa mashabiki kuingia uwanjani

Muda huo pia ile Chopa maalum ya mabingwa itakuwa angani ikipita maeneno mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ikifanya parade

Burudani zipo za kutosha dimba la Mkapa, Harmonize, Mario na wasanii wengine wakubwa Tanzania watawapa burudani Wananchi

Majira ya saa 9 Alasiri Chopa iliyobeba ubingwa wa 30 wa Yanga itatua uwanja wa Mkapa na kukabidhi kombe hilo kwa ajili ya sherehe rasmi ambazo zitafanyika baada ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tabora United utakaopigwa kuanzia saa 10 jioni

Kama bado hujakata tiketi, hakikisha unaitumia Buku yako mapema hii kwani hupaswi kukosa shamrashamra hizi za Jumamosi ya Mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’