Sio timu kutoka nje ya nchi tu, bali hata baadhi ya timu kutoka hapa Tanzania zimeona umuhimu wa kufika Makao Makuu ya klabu ya Yanga kupata elimu ya mfumo bora wa uendeshaji wa klabu zao
Klabu ya Pamba Fc kutoka jijini Mwanza ambayo msimu ujao itashiriki ligi kuu ya NBC, ni miongoni mwa klabu za ndani ya nchi zilizotumia fursa ya kwenda kujifunza kwa Wananchi





ADVERTISE HERE