Kinachofuata ni Parade la Ubingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2024
Kinachofuata ni Parade la Ubingwa

Baada ya kufanikiwa kutinga fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu Fc katika mchezo wa nusu fainali hapo jana, leo Yanga inaweka hadharani mipango yake ya shamra shamra za ubingwa wa ligi kuu

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe atazungumza na wanahabari katika Mkutano utakaofanyika Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam

Yanga imejipanga kuandaa shamrashamra kubwa za ubingwa pengine kuliko wakati mwingine wowote

Kwani ni ubingwa wa tatu mfululizo ambao unaifanya Yanga kufikisha makombe 30 ya Ligi Kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’