Licha ya mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Ihefu Fc kupigwa kuanzia saa 9:30 Alasiri, Wananchi wanaelekea kujaza uwanja wa Sheikh Amri Abeid mapema tu
Mashabiki walianza kumiminika uwanjani saa tano asubuhi pale mageti yalipofunguliwa
Arusha ni moja ya miji ambayo Yanga imejipambanua kwa kuwa na mashabiki wengi, ni wazi Sheikh Amri Abeid leo 'itatapika'
CRDB BANK FEDERATION CUP: Mashabiki wanazidi kumiminika hapa Sheikh Amri Abeid Arush.
— Azam TV (@azamtvtz) May 19, 2024
Ni nusu fainali ya pili ya #CRDBankFederationCup kati ya Ihefu SC dhidi ya Yanga SC.
Itakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 9:30 alasiri.
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )β¦ pic.twitter.com/emkkNLBYlN
ADVERTISE HERE