Baada ya kutua Arusha mapema leo, jioni kikosi cha Yanga kikapata nafasi ya kufanya mazoezi yake ya kwanza kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB utakaopigwa Jumapili, May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid










ADVERTISE HERE