Wananchi na timu yao Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2024
Wananchi na timu yao Arusha

Kikosi cha Yanga kilitua mkoani Arusha mapeme leo kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Ihefu Fc

Mchezo huo wa kusaka tiketi ya fainali, utapigwa Jumpili, May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Mamia ya mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa wingi kuipokea timu yao na shamra shamra za mapokezi hayo kuendelea katika katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha

Unaweza kusema mashabiki wa Yanga ndio watu wenye furaha zaidi kwa sasa, timu yao ikiwa imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara ya 30

Yanga inawania rekodi ya kutwaa taji la FA kwa msimu wa tatu mfululizo. Kwa hakika Ihefu Fc watakuwa na kazi ngumu kuizuia Yanga isitinge fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’