Yanga kuifuata Ihefu Fc, Arusha leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2024
Yanga kuifuata Ihefu Fc, Arusha leo

Kikosi cha Yanga leo kinaelekea mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Jumapili, May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Yanga ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo na wanakwenda Arusha kusaka ushindi dhidi ya Ihefu Fc na kutinga fainali

Ikiwa tayari imetwaa taji la Ligi Kuu, Msemaji wa Yanga Ali Kamwe amesema wanalitaka taji la FA kwa msimu wa tatu mfululizo

Mechi ya kwanza ya nusu fainali kati ya Coastal Union dhidi ya Azam Fc itapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa CCM Kirumba

Yanga na Ihefu Fc zitachuana katika mchezo wa pili utakaopigwa Jumapili, saa 9 Alasiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
30m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’