Herry Sasii apewa Yanga vs Ihefu Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2024
Herry Sasii apewa Yanga vs Ihefu Fc

Mwamuzi wa kati Herry Sasii Kutoka Dar es Salaam amepewa dhamana ya kuchezesha mchezo wa nusu Fainali ya Kombe la FA (CRDB) kati ya Ihefu Fc dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumapili May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Sasii atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Janeth Balama kutoka Iringa

Mechi hiyo ya kusaka timu itakayocheza fainali dhidi ya mshindi wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Azam Fc, itapigwa saa 9 Alasiri

Yanga inasaka nafasi ya kucheza fainali ya tatu mfululizo na pengine kushinda taji hilo kwa msimu wa tatu mtawalia

Kikosi cha Yanga kinajifua katika viwanja vya Bandari jijini Dar es salaam ambapo Wananchi wanatarajiwa kuelekea mkoani Arusha Ijumaa

Tayari waapinzani wao Ihefu Fc wametua Arusha mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’