Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Yanga utafanyika Juni 09, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, saa 4 asubuhi
Kwa mujibu wa Katiba ya Yanga, Matawi yote yaliyokidhi ithibati kama ilivyoelezwa kwenye Katiba Ibara ya 17, yatawakilishwa na Wajumbe watano (5)
ADVERTISE HERE