Baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa nusu fanali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Ihefu Fc
Mchezo huo utapigwa Jumapili, May 19 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha










ADVERTISE HERE