Kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Kigoma kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc uliopigwa jana katika uwanja wa Lake Tanganyika na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Wananchi wanarejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi unaofuata dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumatano, May 08 katika uwanja wa Azam Complex





ADVERTISE HERE