FT : Mashujaa 0-1 Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 May 2024
FT : Mashujaa 0-1 Yanga, NBC PL

Alama tatu muhimu zimepatikana mkoani Kigoma, Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika

Yanga ilikuwa bora zaidi katika dakika 45 za kwanza na kufanikiwa kufunga bao pekee kupitia kwa Joseph Guede aliyemalizia pasi murua kutoka kwa Mudathir Yahya

Kipindi cha pili kilikuwa tofauti kwani Mashujaa walikuja juu kusaka bao la kusawazisha huku Kocha Miguel Gamondi akiimarisha eneo la ulinzi

Zilikuwa dakika 45 'tough' katika kipindi cha pili lakini dakika 90 za mchezo huo zilimalizika Yanga ikiibuka na ushindi muhimu

Alama 65 kileleni mwa msimamo wa ligi Wananchi wakihitaji alama 8 kutoka mechi 5 zilizosalia ili kuwaa ubingwa

Mchezo unaofuata ni May 08 dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Azam Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’