Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kikosi cha Yanga leo kuhamishia mazoezi kwenye dimba la Uhuru kufuatia wiki mbili za mazoezi ya Gym.
Wachezaji 25 wamehudhuria mazoezi yaliyosimamiwa leo asubuhi na kocha George Lwandamina, Nsajigwa na wasaidizi wao kwenye dimba la Uhuru.
Mwalimu Lwandamina ndio ameanza rasmi kukijenga kikosi cha maangamizi.

ADVERTISE HERE