Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi April 2024
Ki ameondoka na tuzo hiyo baada ya kuwashinda Joseph Guede na Kipre Junior wa Azam Fc
Katika mwezi April, Ki aliisaidia Yanga kushind dhidi ya Singida FG, Simba, Coastal Union na kutoka suluhu ya bila kufungana dhidi ya JKT Tanzania
Hiyo ni tuzo ya pili mfululizo Ki anabeba akiondoka na tuzo ya mwezi March pia
Tuzo ya kocha bora imechukuliwa na Miguel Gamondi

ADVERTISE HERE