Happy Birthday Pacome

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2024
Happy Birthday Pacome

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua

Msimu wake wa kwanza na Yanga umekuwa na mafanikio makubwa akiwa mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha kocha Miguel Gamondi

Kukosekana kwake uwanjani kwa takribani mwezi mmoja kumeibua sintofahamu na hata wale wapinzani wa Yanga kutumia mwanya huo kutengeneza propaganda

Hata hivyo Pacome alikuwa majeruhi uongozi wa Yanga umethibitisha hilo, na ni suala la muda tu kwake kuonekana tena akiitumikia Yanga

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake..

HAPPY BIRTHDAY PACOME...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’