Yanga yaweka rekodi ya kibabe Ligi Kuu ya NBC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2024
Yanga yaweka rekodi ya kibabe Ligi Kuu ya NBC

Wakati Ligi Kuu ya NBC ikielekea ukingoni, Yanga imeweka rekodi ya kibabe katika mechi 24 zilizochezwa mpaka sasa

Yanga ni timu pekee ambayo imepata ushindi wa asilimia 100 katika mechi zote walizocheza nyumbani. Yaani Yanga haijadondosha alama hata moja nyumbani!

Yanga ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi na alama 62, imepoteza mechi mbili na kutoka sare mechi mbili zote zikiwa ugenini

Ilipoteza mechi dhidi ya Ihefu Fc na Azam Fc huku ikilazimishwa sare dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania

Stephane Aziz Ki anaongoza mbio za ufungaji bora akiwa na mabao 15 wakati Djigui Diarra anaongoza mbio za golikipa bora akiwa na 'cleansheet' 11

Yanga imefunga mabao mengi kuliko tmu zote (55) huku pia ikiwa imeruhusu mabao machache zaidi (12)

Kimahesabu Wananchi wanahitaji alama 11 kutoka mechi 6 zilizosalia kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
37m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’