Hersi afunguka kuhusu Pacome

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Apr 2024
Hersi afunguka kuhusu Pacome

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameeleza kusikitishwa na taarifa za upotoshaji kuhusu kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua aliyekuwa majeruhi

Hersi amesema taarifa hizo za uongo zinasababisha taharuki na lengo la watoa taarifa hizo ni kutaka kuwavuruga Wanayanga

"Jana nimeulizwa na Mzee wangu Jakaya vipi kuhusu Pacome? Yaani imetengenezwa stori moja ya uongo uongo tu"

"Wanasema ni kwasababu kuna kesi FIFA, sijui Yanga wasimtumie mchezaji kwasababu watakatwa point, ni vitu vya kipuuzi tu"

"Kuna vitu vingine ukivisikia havi-make sense, mara sijui hana vibali vya kukaa nchini. Huyu mchezaji anacho kibali cha kukaa nchini, huyu mchezaji amepata leseni ya TFF, huyu mchezaji amepata leseni ya CAF, amecheza mechi za Ligi na mashindano ya CAF na akapata majeraha"

"Alivyoitwa timu ya Taifa ya Ivory Coast tulikubaliana kwamba huyu mchezaji aende kwasababu ya kulinda nafasi yake, lile Taifa lina wachezaji wengi sana duniani kote," Hersi aliiambia Bongo Fm

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’