Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amechukua usukani katika vita ya 'cleansheet' baada ya kuisaidia Yanga kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa uwanja wa Azam Complex jana
Diarra amefikisha 'cleansheet' 11 akimpiku mlinda lango wa Coastal Union Vumiley Matampi aliyebaki na cleansheet 10 baada ya kipigo cha jana
Diarra sasa anaisaka tuzo ya tatu mfululizo ya golikipa bora wa ligi kuu ya NBC

ADVERTISE HERE