Mashabiki wa klabu ya Yanga wametakiwa wajitokeze kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa leo Jumatano wakati Yanga itakapoikaribisha Singida United kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 22.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amependekeza mashabiki wavae jezi zile za kijani pamoja na kubeba bendera za njano kuupamba uwanja wa Taifa.
Hamasa iliyofanywa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Wolaitta Dicha inahitajika sana kwenye mchezo wa kesho kuhakikisha Yanga inaibuka na ushindi.
Sio siri kwamba mbio za ubingwa zimebaki kwa timu mbili tu. Huu ni wakati ambao mashabiki wa Yanga wanatakiwa kuwa karibu na timu yao pengine kuliko wakati mwingine wowote.
Ifahamike leo mashabiki wa upande wa pili watafurika kwa wingi kuipa sapoti Singida United, hawatapenda kuiona Yanga inaibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

ADVERTISE HERE