Kesho Jumamosi Yanga itakuwa uwanja wa Azam Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Wananchi tayari wameweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 12 jioni
VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
ADVERTISE HERE