Gamondi akerwa na uwanja Meja Gen Isamuhyo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2024
Gamondi akerwa na uwanja Meja Gen Isamuhyo

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema licha ya timu yake kukosa alama zote tatu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania, bado hawajapoteza malengo yao ya kutwaa ubingwa

Gamondi amesema wamepata alama moja ugenini ambayo sio matokeo mabaya hasa ikizingatiwa wamecheza katika mazingira ya uwanja mgumu

"Nimeshindwa kuelewa kwa nini imelazimishwa tucheze katika uwanja huu? Sio suala la matokeo tu uwanjani, bali ni muhimu pia kuzingatia afya za wachezaji"

"Hatukuwa na wakati mzuri, kipindi cha kwanza ilikuwa ngumu wachezaji wangu kucheza hapa angalau kipindi cha pili tulipambana"

"Najua kuna watu wamefurahi baada ya matokeo haya lakini tumepoteza pointi mbili tu na kupata pointi moja muhimu ugenini"

"Bado tuna mechi nyingi, tutaendelea kupambana ili kuhakikisha tunatimiza malengo yetu," alisema Gamondi

Mchezo unaofuata kwa Yanga ni dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa Jumamosi April 27 katika uwanja wa Azam Complex

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’