Kesho moto utawaka kwenye uwanja wa Taifa wakati mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Vodacom Yanga watakapoikabili Singida United.
Hata hivyo Yanga huenda ikamkosa mlinzi wake kisiki Andrew Vicent Chikupe ambaye aliumia katika mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya Wolaitta Dicha Jumamosi iliyopita.
Lakini hilo haliwezi kuwa tatizo kwa Yanga ambayo sasa ina kikosi kipana.
Kiwango alichoonyesha beki Abdallah Shaibu kwenye mchezo dhidi ya Dicha kinampa nafasi ya beki huyo kucheza sambamba na Kelvin Yondani.
Yanga inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE