Leo timu ya hamasa ilikuwa maeneo ya soko la Ferry jijini Dar es salaam kuwahamasisha mashabiki kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi siku ya Jumamosi April 20 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Wananchi wako tayari kwa mtanange huu na pasipo na shaka dimba la Mkapa litajaa mapema tu kabla ya siku ya mchezo!
ADVERTISE HERE