Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki amebeba tuzo ya mchezaji bora wa Yanga (NIC player of the month) kwa mwezi March 2024
Hiyo ni tuzo ya pili Aziz Ki anatwaa katika kipindi cha wiki moja baada ya pia kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi March
Ni mara ya pili Aziz Ki anashinda tuzo hizo msimu huu. Na kwa mwenendo wake, ni wazi tuzo zaidi zitaendelea kumiminika mkononi mwake hadi pale msimu utakapofika tamati
ADVERTISE HERE