Droo ya mechi za robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB inatarajiwa kufanyika leo majira ya saa 6 mchana
Yanga ni miongoni mwa timu nane ambazo leo zitafahamu wapinzani wao katika mechi za robo fainali
Timu nyingine ni Geita Gold, Tabora United, Ihefu Fc, Coastal Union, Namungo Fc, Azam Fc na Mashujaa

ADVERTISE HERE